SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Who Rocked These 70’s Men Silhouette Trouser Better?
Mitindo

Who Rocked These 70’s Men Silhouette Trouser Better? 

Moja kati ya trend kubwa kwa miaka ya 70 ilikuwa bwanga, ambazo juu zimebana kidogo na chini zimeachia. Trend hii ilionekana kwa wote wanaume kwa wanawake, wengi walikuwa wakiziita juu nibanie chini niachie. Kama ambavyo tunajua fashion ni kama duara huwa inazunguka inaenda na kurudi, mitindo mingi ya miaka ya zamani inaonekana kurudi na hata kama sio ku-trend basi wengi wanajaribu kuwa wa tofauti kwa kuzirudisha tena mara chache chache.

Tume wa-spot mwanamuziki Nedy Music na Stylist Noel Ndale wakiwa wamevalia hizi 70’s bwanga & we couldn’t help but ask nani amevaa vizuri hii trend ya miaka ya 70.

Tulimuona stylist Noel Ndale mwaka jana mwishoni katika Grey Carpet ya Swahili Fashion Week, akiwa amevalia hii gray bwanga, akiwa amemalizia na T-shirt nyeupe pamoja na blazer nyeupe.

Wakati tumemuona Neddy Music mwaka huu akiwa amevalia bwanga inayofanana sawa na ile ambayo ameivaa Noel, Nedy amevalia hii bwanga na t-shirt nyeupe, ambazo ame match na viatu vyake huku akiwa amemalizia na accessories ndogondogo kama kofia, mkufu, hereni, saa, bangili pamoja na kamba ya kiatu nyeupe aliyoifunga kama mkanda kiunoni.

Afromates mnadhani nani ameitendea haki hii trend? Noel Au Neddy? tuambie kupitia box letu la comment hapo chini.

 

Related posts

5 Comments

  1. download youtube video

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-these-70s-men-silhouette-trouser-better/ […]

  2. Is DMT Legal In Perth

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-these-70s-men-silhouette-trouser-better/ […]

  3. click here now

    … [Trackback]

    […] There you will find 33440 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-these-70s-men-silhouette-trouser-better/ […]

  4. Where to Buy Magic Mushroom Spores

    … [Trackback]

    […] Here you will find 44811 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-these-70s-men-silhouette-trouser-better/ […]

  5. อยากถูกหวยต้องเลขเด็ด เจ้ฟองเบียร์

    … [Trackback]

    […] Here you can find 52393 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-these-70s-men-silhouette-trouser-better/ […]

Comments are closed.