SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Who Rocked This Bowed Bell Dress Better Kati Ya Jokate, Chic Ama Na Karen
How to Rock

Who Rocked This Bowed Bell Dress Better Kati Ya Jokate, Chic Ama Na Karen 

Umepita muda kidogo tokea tumeona ma-fashionista wamevaa mavazi ya kufanana, lakini imeonekana ni ngumu kukaa bila kuvaa mavazi ya kufanana hasa pale kinapo tokea kitu wote mkakipenda well huwezi kuwa na macho ya kitu kizuri peke yako.

Leo tume waona mafashionista Jokate Mwegelo kutoka Tanzania na ChicAma na Karen wakiwa wamevalia gauni la ina moja kasoro rangi tu ndio hazifanani.

Jokate ni mwanamitindo,fashionista na mjasiriamali ameonekana akiwa amevalia gauni hili likiwa na rangi nyeusi na mwenyewe anasema limetoka kwa mbunifu jacquescollection , Jokate alivaa gauni hili na nude pumps, akabeba fur clutch huku akiwa amemalizia muonekano wake na simple accessories

Fashion Blogger Chic Ama yeye alivaa gauni hili la rangi nyekundu,pumps nyekundu akiwa ame accessories na miwani,clutch,mkufu na bangili.

Wakati Fashion Blogger Karen kutoka blog ya living my bliss instyle, alivaa gauni hili la rangi ya njano, amevalia na pumps nyeusi akiwa ame accessories na hereni,miwani, pete na bangili

je yupi amekuvutia zaidi kati ya hawa watatu? tuambie kupitia Instagram, twitter au facebook.

Related posts

Leave a Reply