Mwaka jana tuliona wabunifu wengi na watu maarufu wakiwa wanavalia mavazi ambayo yanaonyesha (see through ) moja kati ya wabunifu ambao walivutiwa na trend hii ni mbunifu Christian Dior ambae yeye alibuni sheer dresses za usiku katika collection yake ya SS17, watu maarufu wengi walionekana kuvutiwa nayo akiwepo mwanamitindo maarufu Bella Hadid, Nina Dobrev na Winnie Harlow
Lakini kwa sasa imeonekana ndio kama inaingia Africa, tumewaona watu maarufu wawili wakiwa wamevalia gauni hili ambapo mmoja anatoka Tanzania na mwingine akiwa anatoka South Africa
Alianza Irene Uwoya ambae yeye alivaa full black amestyle na miwani na black pumps, akiwa ameachia nywele zake.
The back view
wakati host ni Sam Walsh ambae yeye alivaa gauni hili na open heels nyeusi, ambapo alimalizia muonekano wake na blonde braids na red lipstick to add color on her outfit.
showing off the back
tuambie nani kakuvutia zaidi
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 95380 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-rocked-this-christian-dior-sheer-gown-better/ […]