SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Who Slayed And Who Played Kwenye Swala Zima La Mavazi Week Iliyopita
Mitindo

Who Slayed And Who Played Kwenye Swala Zima La Mavazi Week Iliyopita 

Tumeanza mwezi mpya, tumebakiza siku chache kabla hatujamaliza mwaka 2018 leo tunaangalia watu maarufu wameanzaje mwezi huu katika upande upande mionekano yao kiujumla, na week hii tupo tofauti kidogo tumeamua kuchanganya looks zote kutoka kwa watu maarufu wa nje na ndani ya Nchi je nani ali slay na nani ameplay?

 • Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido na yeye alionekana kwenda kuhudhuria harusi ya rafiki yake ambapo tumeona upande wake mwingine akiwa amevalia agbada ( hili ni vazi la asili la Nigeria) ya rangi ya cream na brown akiwa amemaliza muonekano wake na viatu vyeusi na miwani, as he always say Obo Baddest

 • Fashionista kutoka Tanzania Sishkiki aliamua kutonyesha weekend hii amevaaje na moja ya outfit ambazo zilituvutia kutoka kwake ni hii aliyovaa shirt dress ya blue, akastyle na sheer belt skirt nyeusi, akiwa amemalizia muonekano wake na lavender pumps na kikapu bag, usoni alikuwa na blonde bob hair style and her makeup was on point.
 • We have A Crush On Instagram Fashionista Sishkiki Styles

 • Mbunifu na muigizaji Jacqueline Wolper yeye alivaa this colorful floral dress kutoka dukani kwake, tumependa muonekano huu kutokana na kwamba she was colorful na amepata attention yetu as it meant to be, amemalizia muonekano wake na ankle boots nyeusi, belt nyeusi na miwani wakati kwenye lipstick she went bold na purple lipstick she is #afroapproved.

 

 • Nigerian hair guru na fashionista Chioma Goodhair alikuwa talk of social network na hii outfit yake kutoka na style ya suruali, seems like deconstruction fashion is back na can we say lets blame this on Balenciaga? wenyewe ndio wanapenda fashion za ajabu, well back to Chioma she looked good na hii shirt trouser trouser ambayo aliivaa na one shoulder top, she pulled the outfit off hiko ndicho ambacho tunaweza kusema.
 • Styling Deconstructed Shirt For The Weekend

 • kama ambavyo tunajua week iliyopita kulikuwa na Halloween na watu maarufu kutoka Nchini kwetu pia walijaribu kuwa inspired na siku hii well hii tunawaachie ninyi je wali slay the halloween outfit au played them?

Stylist Noel Ndale & the crew

mwanamuziki Amber Lulu with her upside down wings

Related posts

9 Comments

 1. marijuana legalization

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 2. Double Cupcake 1g Diamonds

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 3. More hints

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 4. Buy DMT Vape pen for Sale Australia

  … [Trackback]

  […] Here you can find 9050 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 5. Ufa191 บาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 6. semaglutide for weight loss near me​

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 7. fastest growing magic mushroom strain

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 8. YOURURL.com

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

 9. ห้องพักรายวัน คู้บอน

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-slayed-and-who-played-kwenye-swala-zima-la-mavazi-week-iliyopita/ […]

Comments are closed.