Juzi jumamosi label ya muziki ya Wasafi Classic Baby ilizindua Wasafi Festival ambapo ni kama concert inayo wahusisha wasanii mbalimbali ku-perform na kwa mara ya kwanza ilifanyika mkoani Mtwara, kama ndio mara ya kwanza kwa hiki kitu kufanyika we expected more kutoka kwa wanamuziki ambao wamepanda ku-perfom ukiachana na wao kujiandaa kimuziki lakini pia katika sekta yetu ya mavazi.
Tumekuja kugundua kwamba wasanii wengi huwa wanaweka effort katika performance zao kwenye kucheza na kuimba kuliko katika mavazi, wanavaa chochote kilete maana au kisilete maana wao wanavaa tu as long as kashajiandaa ku-perform vizuri na kuimba vizuri, well as an artist unahitaji kuwa na muonekano mzuri, Mariah Carey anasauti nzuri lakini hapandi jukwaani na mavazi yasiyo eleweka, Rihanna, Beyonce al-kadhalika lakini hata King Of Pop, late Michael Jackson ukiachana na kujua kuimba kwake na kucheza alikuwa anajitahidi kwenye mavazi pia anapendeza, with that being said tuangalie mavazi tuliyofungua nayo katika Wasafi Festival nani alivaa nini.
- Tuanze na mwenye show yake Diamond Platnumz
Kutokana na vyote ambavyo vilikuwa vinaendelea kati yake na wengine kuhusu show hii sisi kama Afroswagga tulitegemea a statement, something like i own this game now, Diamond is unchained katika kifungo ambacho mwenyewe alisema wasanii wanafungwa tulitegemea mavazi yake yataongea hiko kitu, lakini tofauti na mategemeo yetu alivaa tu a vintage cropped kizibao, as usual akavaa scarf kichwani, mikufu, saa na suruali nyeusi. Amependeza lakini kwa show ya kwanza ambayo umeiandaa ni kawaida sana hatudhani kama ameongea kitu its regular.
- Harmonize A.K.A Mmakonde
mwenye mkoa wake Mtwara, believe it or not tumependa alichofanya Harmonize ni kama amepania, ana usongo na show so shirt ya nini joto na nini, na ametoka kifungoni anaonekana anausongo na show, ali perform akiwa shirtless juu, ripped denim trouser, white kicks na scarf kichwani huku akiwa amemalizia na miwani,mikufu na saa.
- Aika Navykenzo
Kama member wa WCB wakiwa sasa hivi wanamejiwa na Sallam Sk, Aika na Nahreel walikuwepo katika wasafi festival na Aika alivaa hii outfit ambayo ilitukumbusha outfit ya Queen Bey katika Beychella 2018, Aika alim-chanel Beyonce wakati Beyonce yeye ali-mchannel Egyptian queen Nefertiti,
Well Aika alivaa gold body suit ambayo nje alivalia na caped long blazer yenye stripes za gold na nyuesi ambapo alivaa print inayo fanana na blazer hio kichwani, alikuwa na alot going on but everything ilionekana ku-fit it na outfit yake,alivaa statement necklace, mikufu na akamaliza na fishnet stockings, well she gave us queen vibes japo kulikuwa na vingi but vimeonekana ku-bond in with each other & this is how you open the show.
Beyonce
- Young Killa in spider man costume
Hatujui Young Killa alikua anaongea nini na hii outfit yake Tunadhani its about time Wasanii wa Tanzania waache kuchukua costume ili mradi costume na ku-concetrate na kupendeza & giving us a story, Spider man on the stage akiwa ana rap really Young Killa?Donate the entire outfit to national theater as a play costume
- Chin-Chun-Li-Bees
Chin Bees yeye alichagua Kuwa Chun Li *Chinese Fighter* Labda alikuwa anatuonyesha kwamba yupo vitani but we ain’t here for the outfit, hivi vitambaa ni kama vya uniform za watoto wa chekechea kama unataka kuvaa a costume at least make it look real.
Tuambie wewe umeonaje kuhusu fashion Kwenye jukwaa LA wasafi festival mtwara?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 59997 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 93350 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 82378 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/who-wore-what-at-wasafi-festival-2018/ […]