Imekua tabia sisi kama fashion agents tukiona watu maarufu wamevaa fake brands (wana vaa vitu vya kufyatua), tunakua wa kwanza kuwasema kwamba wamevaa vitu fake, lakini kuna msemo unasema fake it till you make it.
Juzi tumemuona mwanamuzi Nandy akiwa amevalia viatu kama ambavyo Rihanna alivivaa kwenye wimbo wake na Dj Khaled wild thoughts, Hivi viatu ni collection ya Rihanna X Manolo Blahnik ambayo iliitwa So Stoned Collection,
hatukaa vizuri tukamuona Hamisa katika viatu hivyo hivyo hapo tuka wonder je ni OG? too bad wafyatuaji wa sasa si kawa wa zamani zamani ilikuwa rahisi kutofautisha Original na Fake sasa hivi unaweza kununua fake kwa bei ya OG huku ukiwa hujui ni fake
Viatu vya manolo original vilikua vinauzwa $2325 lakini kwa sasa vinauzwa $1635 ambayo ni sawa na tzs 3’597’000, Kama ni Original basi mziki na uanamitindo unalipa bongo tusitaniane.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/why-it-is-not-okay-for-celebrities-to-wear-fake-staffs/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 97277 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/why-it-is-not-okay-for-celebrities-to-wear-fake-staffs/ […]