SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wildad Agripa & Rhino King Wame-Join The Men Nail Polish Trend
men fashion column

Wildad Agripa & Rhino King Wame-Join The Men Nail Polish Trend 

Trend hii ya wanaume kupaka rangi za kucha ilianza mwaka jana ambapo tuliwaona watu maarufu kutoka Nchi za Nje kama Asap Rocky, Harry Smiles, Snoop Doggy na wengineo wakiwa wamepaka rangi za kucha iwe miguuni au mikononi.

Utajiuliza kwanini wanaume wapake rangi kucha? Well the same reason wanawake wanapaka rangi kucha, kuzifanya zivutie lakini pia ni namna nzuri ya kuzilinda kucha zako. Kwa hapa Tanzania tumemuona msanii Wildad Agripa na Rhino King kutoka The Mafik.

Wote hawa wakiwa wamepaka black nail polish

Well #afromates tupe maoni yako kuhusu wanaume kupaka rangi za kucha kupitia katika box letu la comment hapo chini au katika akaunti zetu kwenye mitandao ya kijamii.

Related posts

5 Comments

 1. rich89bet

  … [Trackback]

  […] Here you will find 29724 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wildad-agripa-rhino-king-wame-join-the-men-nail-polish-trend/ […]

 2. Order magic mushroom online Victoria

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wildad-agripa-rhino-king-wame-join-the-men-nail-polish-trend/ […]

 3. other

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wildad-agripa-rhino-king-wame-join-the-men-nail-polish-trend/ […]

 4. Albino Penis Envy for sale Queensland

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/wildad-agripa-rhino-king-wame-join-the-men-nail-polish-trend/ […]

 5. บ้านมือสอง

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/wildad-agripa-rhino-king-wame-join-the-men-nail-polish-trend/ […]

Comments are closed.