SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wiz Kid Ayo Katika Runway Ya Dolce Gabanna Akiwa Na Naomi Campbell
Mitindo

Wiz Kid Ayo Katika Runway Ya Dolce Gabanna Akiwa Na Naomi Campbell 

Mwanamuziki wa kimataifa anaetokea Nigeria Wiz Kid Ayo ametembea katika Runway ya mbunifu mkubwa Dolce And Gabanna, Wiz Kid ambae alionekana mara kadhaa akiwa na mwanamitindo Naomi Campbell kabla ya kutembea nae pamoja katika runway hii.

Wiz Kid Ayo amekuwa msanii wa kwanza kutoka bara la Africa kutembea katika runway ya dolce & Gabanna

hii ni collection ya Dolce & Gabbana SS19 ambayo ilikuwa debuted katika Menswear show, Milan, Italy.

 

 

Wiz Kid alitembea katika runway hii akiwa amevalia mavazi meusi ambayo yame dariziwa na urembo wa gold, kumaliza muonekano wake Wiz Kid alivalishwa T-shirt nyeupe kwa ndani na Mask kama accessory.

Wiz Kid amefanya collabo na wasanii mbalimbali wakubwa akiwepo Drake, na anaweza kuwa amefungua milango kwa wasanii wengine kutoka Africa kutembea katika runway kubwa kama hii.

Related posts