SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WORK OUTFIT IDEAS #3
Mitindo

WORK OUTFIT IDEAS #3 

Week nyingine tena, hustle nyingine tena. Lakini una wezaje ku hustle huku hauja pendeza? haiwezekani hata wale matapeli huwa wana pendeza kweli kweli na ndio maana huwa wana aminika kiurahisi waki sema wana millioni mia kwa ule muonekano  wao smart lazima uingie mkenge (hatu influence wizi) maana yetu ili ukubalike na uaminike muonekano una changia pia. Siku hizi hata madalali wa mbezi na gongo la mboto nao mionekano yao ina pishana.

Well besic is boring unaonaje week hii tuka jipimp kidogo kinamna nyingine? haya hizi ni work outfit ideas za week hii

Front slits skirts (skirt zenye mpasuo kwa mbele)  zipo kwenye trend kwa sasa una weza kujaribu kuvaa kuwa muangalifu na uchaguzi wa rangi lakini pia mpasuo usizidi sana.

well suited up

flared skirts nazo bado zina tamba mtaani una weza kuchagua ya rangi moja, polka dots au hata floral

keeping it simple with a pop of floral blazer

tume penda jinsi alivyo arrange hizo rangi

ni matumaini yetu umepata moja au mbili za kuvaa katika week yako, have a blessed week until next week

Wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswagagtz

 

Related posts

1 Comment

  1. 1 pound of strawberries calories

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-3/ […]

Leave a Reply