SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WORK OUTFIT- IDEAS KWA AJILI YA WEEK HII
Mitindo

WORK OUTFIT- IDEAS KWA AJILI YA WEEK HII 

Well tunapo anza mwanzo wa wiki huwa ni muda muafaka wa kuweza kuanza kujenga upya na kutimiza ndoto zetu. Lakini pia muonekano wetu mwanzo wa wiki ni muhimu maana watupatia confidence ya kuweza kuikabili wiki ianyokuja.

tunakuletea some outfits and looks ambazo zaweza  kukusaidia to dress up and look all wow.

Tuanze na office looks ambazo zinmtaka mtu kuvaa suits. Well suits can be styled in many different ways ambazo zaweza mfanya mtu atokee kipekee na kupendeza

 

kwa wale wa islam ambao wana takiwa kuvaa kiremba/ushungi nao wana weza kuvaa suit bila tatizo

 

Also katika uvaaji huu choosing the right makeup na accessories ni muhimu sana ili kuweza kuung’arisha zaid muonekano wako.

mikufu isiyo na mambo mengi, simple mikufu

pochi zenye neutral colors, usivae pochi zinazo nga’aa sana zita draw attention

wide belts ni a must have

pia una weza kupaka make up simple.

Katika yote haya tuzingatie kuwa ofisi ni sehemu yenye kuhitaji heshima hivyo katika kuchagua nguo, maadili yazingatiwe ili kuepusha kuanza wiki na kasheshe za kuongelewa kila kona ya ofisi kwa uvaaji usio na heshima.

article credit – @willibard_jr

unaweza kututafuta

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

twitter – afroswaggatz

Related posts

6 Comments

  1. psilocybin chocolate

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

  2. pg slot

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

  3. usdt지갑

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

  4. 다시보기사이트

    … [Trackback]

    […] There you can find 1356 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

  5. psilocybin california

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

  6. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Here you can find 22671 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-kwa-ajili-ya-week-h/ […]

Leave a Reply