Kujua nini cha kuvaa huwa kazi wakati wowote wa mwaka, lakini huwa ngumu sana kipinndi cha mvua/baridi. Kipindi cha joto inakuwa rahisi kidogo maana kuna kuwa hakuna too much layering sio kama baridi unatakiwa ufikiririe sio tu cha kuvaa bali nini uvae na nini hili kuonekana proffesional lakini pia kujikinga na baridi. Na mbaya zaidi kipindi hiki ni ngumu kuvaa viatu virefu na tope. Well leo tunakuletea few outfit za kuvaa msimu huu,
The Jumpsuit – unaweza kuvaa jumpsuit mabayo iko official kidogo haija achia sana mbele, inaweza kuwa long sleeve, sisi tumechagua short sleeve jumpsuit na blazer. tumeamua kuchagua neutral colors as zinapop vizuri na hali ya hewa.
Kama unapenda colors unaweza kuchagua kitu kimoja ambacho kita pop muonekano wako, kama hapo chini sisi tumechagua blazer ya orange kwenye jua inaweza kushout sana lakini kwa sababu ya mawingu itaonekana kawaida this season ni season ya kuvaa nguo zako zote ambazo ni colorful.
Pallazo & turtle neck top, una weza kuongezea scarf kama baridi ni kali sana & take out those boots ambazo huwa una zivaa usiku tu kutokana na joto ni muda wa kujidai nazo sasa.
Floral floral floral ni kipindi kizuri cha kuvaa nguo zenye maua na rangi rangi pia
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas-msimu-huu-wa-baridi/ […]