SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WORK OUTFIT IDEAS
Mitindo

WORK OUTFIT IDEAS 

Another week, another dollar ndio kitu unacho takiwa kukijua pale jumatano inapo fika, lakini hey ni vizuri kama uta chase hizo papers ukiwa ume pendeza huwezi jua na zenyewe zina weza kukufuata kisa tu ume pendeza. Hizi ni outfit ideas za kazini week hii

Ruffle shirts/blouse ziko so on trendy kwa sasa, una weza kuvaa na pencil skirt kama dada hapo chini

Una weza usiwe na Ruffle shirt ukawa na ruffle skirt pia una weza kuivaa na kuistyle vizuri ukapendeza kwa ajili ya kwendea kazini, zipo very comfortable & stylish

Pencil skirt

Una weza kwenda colorful na flare dress,jua namna ya kupangilia rangi isiwe too much

Go chic casual na white & black trouser

Related posts

4 Comments

 1. smiley drogen,

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas/ […]

 2. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Here you can find 49567 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas/ […]

 3. 호두코믹스

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas/ […]

 4. why not find out more

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/work-outfit-ideas/ […]

Leave a Reply