SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Worse Dressed At The 2018 MTV Video Music Awards
Mitindo

Worse Dressed At The 2018 MTV Video Music Awards 

Tumeshaona waliopendeza jana katika usiku wa Tuzo za  2018 MTV Video Music Awards, sasa tuone wale ambao wao waliona wametoka nyumbani sawa kabisa kwenda ku-attend event kubwa kama hii lakini sisi kwetu tumeona hapana hii si sawa

Best Dressed At The 2018 MTV Video Music Awards Red Carpet

We love Teyana Taylor, we love the Abs hata sisi tungekuwa nazo tungetaka zionekane, we love the make up, hair but hii outfit Teyana angeiacha avae kwenye tour yake, we are not a fan of these cut out pants looks tacky for red carpet appearance. This package is in a wrong place.

Travis Scott acha ku-hangout na Kanye mara kwa mara na aanze kuwa karibu na stylist wa mkewe more, to think Kylie kamuacha Travis atoke hivi inatupa mashaka na relationship yao.

Mama Sebastian had other plans after the awards, throw the whole red cat amber to a strip club.

Tifanny face inaonyesha kabisa hakupendezwa na hili vazi ila ndio afanyeje, something is off kama ni dress haijaendana na mwili au iko kiremba but this outfit isn’t working together no team work here.

When you & your baby dady use the same stylist = Black chyna & Tyga.

Related posts