Ikiwa tumesha waona walifanya vizuri kwenye mavazi mwaka 2021 kwenye Tuzo za Oscars, hawa ndio wale ambao hawakufanya vyema na mionekano yao,
Halle Berry wearing Dolce & Gabbana yoyote ambae amechagulia hii nguo Halle hates her with a passion, tunajua Halle ni moja kati ya wale aunties wenye body ambayo inatutoa mate sisi wa juzi, the dress wasn’t flattering na mwili wake, na dress ilimfaa mtu mrefu kidogo, the hair and makeup are messy.
Viola Davis wearing Alexander McQueen truthfully this look is a no for Viola, the upper of the dress looks like a table mat, na nguo haiko flattering na mwili wake, let’s not talk about the hair.
Chloe Zhao hajajisumbua kwa kweli, kuanzia makeup, nywele, nguo, viatu sis just went there kama anaenda anapeleka watoto shule na wamesha chelewa.
.
Wapo wengi lakini hawa ni wachache ambao tunajua wangefanya vyema zaidi ya hivi, tuambie maoni yako.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worse-dressed-at-the-oscar-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worse-dressed-at-the-oscar-2021/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 10726 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worse-dressed-at-the-oscar-2021/ […]