SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Worst Dressed At BET Awards 2018
Mitindo

Worst Dressed At BET Awards 2018 

Walio sema kwenye wengi kuna mengi hawakukosea, BET awards zimefanyika usiku wa kuamkia leo na watu maarufu mbalimbali walihudhuria kuna ambao walipendeza na ambao walivaa tu kwenda ili mradi waonekane hawakuupotezea mualiko

Haya tuwaone wale ambao kwetu sisi tumeona hapana bora angakeaa nyumbani na kutoa excuse yoyote na sio kufika na kuwa less than we expected

We have one word for Tyga, fire the stylist.

Milan Christopher Its BET Awards for fashion sake, not a strip club, what is this?  too much is going on & accessories na viatu ni nzuri sana lakini vimekuwa ruined na hii tacky jumpsuit ni BIG NO kwetu.

Jessie Reyez ameamua kuto kutumia hela yake katika hii event, messy hair, makeup done by her self, ameamua kuvaa jersey na strap sandals, we understand mama they forced you.

Stacy Ike  & The 80’s Disco dancer pants, tuna tamani top ingekuwa ndefu kidogo akaivaa kama gauni, throw the pants away angeonekana more red carpet appropriate

 

Tuambie wewe kwako nani umeona kapendeza na nani anafaa kuwa katika hii list

 

Related posts