Ni ngumu sana kuwa na event kubwa halafu wote wakapatia, kama ilivyo ada kuna wengine ambao wao huwa wanajiamulia kuwa kivyao na dunia yao hawa ndio ambao tumeona wameenda tofauti na theme ya event
- Gigy Money & Nai Huddah

Nice outfits, nice makeup, nice hair but off theme
Queen Darleen

Yellow is the new black, gold or white or whatever her and her style thought
- Juma Lokole

We’d understand this fit with different shoes & socks, tungependa kujua aliemvalisha hivi viatu na socks ndefu kama mtoto wa chekechea ni nani?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 96534 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-at-iam-zuchu-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-at-iam-zuchu-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 73820 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-at-iam-zuchu-red-carpet/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-at-iam-zuchu-red-carpet/ […]