Unapo kuwa mtu maaru unahitajika kuwa smart kwa maana watu wengi wanakua wanakuangalia ndio maana huko kwa wenzenu wasanii au watu maarufu wanakuwa na stylist ambao wana wasaidia katika swala zima la mitindo. Kwetu Tanzania ni watu maarufu wachache wanaojua kufuatisha mitindo wengine wengi ni tia maji tia maji, hawa ni baadhi ya tia maji tia maji tulio waona mwaka huu
- Q Boy – Q boy ni stylist na kwa sasa ameamia kwenye muziki, akiwa kama stylist tulitegemea awe anapendeza kama wakina Rio Paul, Lavidoz etc lakini stylist wetu huyu ni wa tofauti stylist asiependeza, asiejua kupangilia mavazi yake mwenyewe. Q boy kuvaa brand si kupendeza bali ni vile unavyo ji-style
Lemutuz – Le king of all social media anahitajika ku-refres kabati lake, inawezekana kupata size ya mwili wake ni shida/kazi lakini anaweza kushonesha na akapendeza you know
- Adam Mchomvu – he is a good radio presenter lakini ni mvaaji mzuri wa kuvaa vibaya, ana tatizo la kujua nini avae na nini, mara nyingi huwa ana changanya madawa wakati ana pieces nzuri tu za mavazi
Nuh Mziwanda – kama ambavyo tumesema awali muonekano wako una beba kazi zako mfano mzuri ni Nuhu kila siku anaonekana underground ni kutokana na kuto kuji update kimavazi wala kikazi kila ukimuona unamuona wa kawaida kama anaanza leo muziki
Kusoma worst dressed ya mwaka jana ingia hapa lakini kujua kuhusu walio pendeza mwaka huu bonyeza hapa
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 47105 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-male-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-male-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 85219 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-male-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-male-2017/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/worst-dressed-male-2017/ […]