SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Would You Dare To Wear Your Jeans Inside Out?
Mitindo

Would You Dare To Wear Your Jeans Inside Out? 

Brand ya mavazi iitwayo Unravel Project’s amabayo inasifika kwa kuleta bidhaa za ajabu ajabu imedebut jeans ambazo zimetengenezwa kuvaliwa nje ndani, yaani vile vyote ambavyo vipo ndani ya jeans vinakuwa nje na vilivyo nje ya jeans katika jeans hio kunamaandishi yanayo someka  “To create something new, you must first destroy.”

 

 

Hizi jeans zinauzwa $900 sawa na T-sh 2,036,565.00/- well inaweza kuonekana ajabu na ukajiuliza nani atavaa? wapo ambao wamevutiwa nazo na wame vaa mmoja wapo akiwa huyu Fashion blogger ,Content creator, Fashion Influencer kutoka Tanzania Nancy ambae ni mmilikiwa Own Look clothing line

One On One With Nancy Own Look Clothing Line Owner

Yeye alivalia jeans hii na floral shirt na miwani, hatuna uhakika kama ni jeans ya Unravel Project’s au yeye ameamua kugeuza ya kwake, kwetu amependeza ame jaribu tuambie wewe je utathubutu?

Related posts

2 Comments

  1. pinterestvideodownloader

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/would-you-dare-to-wear-your-jeans-inside-out/ […]

  2. Hawaiian Psilocybe Mushrooms​

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/would-you-dare-to-wear-your-jeans-inside-out/ […]

Comments are closed.