SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Would You Prefer A Fake Designer Product Or Good Quality Unknowing Product?
Mitindo

Would You Prefer A Fake Designer Product Or Good Quality Unknowing Product? 

Sote tunapenda tunavyoona wasanii wakubwa wanapendeza, dripping in original brands hii inamfanya msanii si tu kuonekana kapendeza, lakini pia inawapa motisha wengine kupigania ndoto zao na wao wafikie walipofikia wenzeo, lakini pia inatufanya tujue kwamba zile kazi wanazozifanya na sisi tunanunua au tunalipia viingilio katika matamasha yao zinalipa. Sare za kariakoo nazo zinatosha ukiingia hapa huyu anayo ukiingia kule yule anayo kwa msanii mkubwa unahitaji kuwa wa tofauti as we all know Original haijifichi na copy haijifichi.

Japo kuna msemo wa “Fake It Till You Make It” tunadhani huu ndio unachanganya watu maarufu wengi kwa sasa, kwa kufikiria kuvaa au kubeba bidhaa fake zitawasukuma kufikia katika kuvaa bidhaa original, but the gag is umma una notice kwamba hiki kitu ni fake na kama msanii mkubwa ambae tunajua unatengeneza pesa day in day out inakuwa unajishusha thamani, lakini pia as a celebrity you need to be different na wengine iweje sisi walala hoi tu-shop au kuvaa fake na wewe ambae we look at you as inspiration uvae fake kama sisi?

We all know designer things cost a lot, inawezekana ukapata fake kwa bei rahisi wakati original inauzwa mara tano yake, watu wengi huvaa fake tuseme tu ukweli but hutakiwi kutuaminisha umevaa original wengi katika mitandao ya kijamii utakuta amecaption #guccilife au fendi inatoka kwa fulani wakati we all know umevaa fake,  kama huna huna huitaji kudanganya, better kuvaa unknowing yenye good quality & well styled kuliko kuvaa mdosho.

i its better to “save it till you make it kuliko ku-fake it till you make it” 

kama tukiwaangalia hata wenzetu Nchi za nje wanavaa vitu vya designer wakubwa pale ambapo ni necessary ni kawaida kumkuta Kylie Jenner au Cardi B akiwa amevalia mavazi kutoka fashionnova , zara, bohoo lakini zikiwa zimekuwa styled vizuri kuliko kuvaa fake designer kwasababu tu ya kutaka kuonekana wamevaa designer.

Well afromates tuambie je ni sawa au si sawa kwa watu maarufu na wengine kuvaa fake designer? what would you prefer spending your money on a fake designer product or a good quality unknown product?

Related posts

2 Comments

  1. buy chippa guns

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/would-you-prefer-a-fake-designer-product-or-good-quality-unknowing-product/ […]

  2. Buy Saxenda 6mg/ml (Liraglutide) Online

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/would-you-prefer-a-fake-designer-product-or-good-quality-unknowing-product/ […]

Comments are closed.