SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YALIYOJIRI FASHION FOR PEACE
Afro Fashion

YALIYOJIRI FASHION FOR PEACE 

Kama na wewe ulikuwa moja wa watu walioudhuria katika Onesho la mitindo “Fashion For Peace” lililofanyika katika ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga Jijini Dar es salaam, basi kwa hakika utakuwa umefurahi vya kutosha kwa jinsi onesho zima lilivyoandaliwa na kutekelezwa kwa ujumla kuanzia mwanzo watu walipokuwa wakiingia, wabunifu kuonyesha ubunifu wao kupitia mavazi waliyayabuni katika kuhamasisha amani ya nchi yetu hususani katika kipindi hiki cha uchaguzi, hakika walifanya kazi ya ziada katika kufanikisha hilo. mbali na yote binafsi nmefurahishwa namna walivyoweza kuzitumia rangi zilizopo katika bendera ya Taifa letu katika kubuni mavazi yao na hata kufikia burudani ya ngoma iliyotolewa.

Lakini kama wewe ni miongoni mwa wachache waliokosa fulsa ya kujumuika na mamia ya watanzania waliojitokeza katika Fashion For Peace kwasababu tofauti tofauti, wala usitie shaka AfroSwagga tumekutayarishia kila kitu ambacho ulikikosa siku ile.

Najua unakiu ya kutaka kujua nini kilijiri na wabunifu walibuni mavazi ya aina gani. AfroSwagga imekuletea picha za mavazi ya wabunifu wote walioshiriki (Mustafa Hassanali, Kiki Zimba na Martin Kandinda..

22Kutazama picha za mavazi yote yaliobuniwa na Mustafa Hassanali Bonyeza >>hapa.

 

 

 

 

 

15Kutazama picha za mavazi yote yaliobuniwa na Kiki Zimba Bonyeza >>hapa.

 

 

 

 

 

13Kutazama picha za mavazi yote yaliobuniwa na Martin Kadinda      Bonyeza >>hapa.

 

 

 

 

Picha zote na mpiga picha wetu: @Batro15.

Related posts

2 Comments

  1. golden teacher mushrooms mold,

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-fashion-for-peace/ […]

  2. บาคาร่าออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-fashion-for-peace/ […]

Leave a Reply