SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Yaliyojiri Oscar 2018, The 90th Academy Awards
Mitindo

Yaliyojiri Oscar 2018, The 90th Academy Awards 

Alfajiri ya kuamkia leo kwetu Africa kwa wenzetu usiku kulikuwa na Tuzo za Oscar ni moja ya Tuzo kubwa sana huko kwa wenzetu ambapo wasanii au watu maarufu mbalimbali wana attend as usual sisi huwa tunaangalia red carpet na nini kimejiri cha tofauti katika swala zima la mitindo well makubwa yaliyo onekana ku catch macho ya watu ni Tiffany Hadish kurudia gauni lake kwa mara 3 katika event tofauti unaweza kusoma hapa, lakini pia Lupita Nyongo kueka hair style inayo wakilisha kabila moja kutoka Rwanda, click hapa kusoma.

Pia Rita Moreno Muigizaji, Mchezaji na mwanamuziki kutoka Porto Rico amarudia gauni lake alilolivaa mwaka 1962 katika tuzo hizi hizi za Oscar, mama huyu mwenye miaka 70 bado ana fit katika gauni lake hili na unaweza kupiga mahesabu she waited for 56 years kuvaa tena hili gauni, ameongezea touch’s za sasa katika ku-style gauni hili ili kwenda na wakati.

Waigizaji Danai Gurira na Saoirse Ronan walivyo vaa almost same dress lakini kutoka kwa wabunifu tofauti, gauni ina mkato sawa, rangi sawa tofauti tu ni kwamba nyuma mmoja imewekwa bow na nyingine marinda.

Danai Gurira yeye alivaa hili gauni kutoka kwa mbunifu  Gabriela Hearst, ni baby pink dress ya kata mikono, she rocked her low cut hair style ame accessorize na choker, bracelet iliyo match na choker na hereni.

Wakati Saoirse Ronan yeye alivaa gauni ya pink kutoka kwa mbunifu Calvin Klein    , yenye bow nyuma alichagua ku- accessorize na minimun accessories huku akimalizia muonekano wake na blonde bob hair style na pink pumps.

Tuambie kati ya wawili hawa nani ame vaa vizuri zaidi gauni hili?

Na hii ndio red carpet ya Oscar mwaka huu our best dressed

Jane Fonda

Zendaya

Elisabeth Moss

Jennifer Garner

Gal Gadot

Nicole Kidman

Salma Hayek

 

 

 

Jennifer Lawrence

Margot Robbie

Viola Davis

 

Emily Blunt

Taraji P Henson

 

 

 

 

Marry J Blide Gina

 

Betty Gabriel

 

 

Related posts

4 Comments

 1. superslot

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-oscar-2018-the-90th-academy-awards/ […]

 2. แทงบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-oscar-2018-the-90th-academy-awards/ […]

 3. comprar reseñas google

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-oscar-2018-the-90th-academy-awards/ […]

 4. 예능 다시보기

  … [Trackback]

  […] Here you will find 83189 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-oscar-2018-the-90th-academy-awards/ […]

Comments are closed.