SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YALIYOJIRI RED CARPET YA SHOW YA LOVE MELODIES AND LIGHTS
Habari

YALIYOJIRI RED CARPET YA SHOW YA LOVE MELODIES AND LIGHTS 

Well Jumamosi hii watu wote in town hapa Dar walielekeza macho katika show ya kibabe ambapo wanamuziki Ben Pol, Juma Jux na Barakah Da Princewalikonga nyoyo zetu kwa performance iliyokonga nyonyo za wengi. Sisi as fashionistas, macho yetu yote yalikuwa on the red carpet ambapo mastaa wengi waliweza kuhudhuria. Hakika kuna celebs waliweza kustand out na kuweza kung’ara lakini pia kuna ambao hakika

waliendeleza uvaaji wao kama wahudhuriaji wa ngoma Manzese.
 Tuanze na the best dressed especially wakaka ambapo msanii na mchekeshaji Idris Sultan aliweza kututeka akiacha his normal suits looks ambazo wengi wamezoea kumuona katika red carpets nyingi. Hakika he was classy na tulipenda his look pamoja na mwanamuziki Madee Ali mabaye naye hakutupia suti.
Idris Sultan
Madee Ally wa kwanza kulia
Then most of the guys walikuwa katika suits na wengi walipendeza. Waliotuteka ni the performers Juma Jux, Ben Pol na Barakah Da Prince ambapo mbunifu Mtani alihusika katika kuwapendezesha.
Pia mastaa waliopendeza katika suits ni Dogo Janja,presenter Perfect Crispin, Joh Makini, Izzo Business, Fid Q, Quick Rocka, Bill Nass, Petit Man na Msami.
Martin Kadinda
Quick Rocka
Perfect wa kwanza kushoto na Fiq Q wa Kwanza Kulia
Izzo Business
Dogo Janja
Then kwa akina dada hakika twaanza na Ray C ambaye hakika alipotea kwa muda but ujio wake na gauni lake jekundu katika red carpet aliweza kuteka nyoyo za wengi.
Then a special appreciation kwa dada Faiza maana tukitegema kujiona maajbu yakiendelea lakini hakika she looked wow katika gauni jeupe lilioendana na her figure.
Then mastaa wengine waliovutia na kupendeza ni pamoja na Shaa,
Feza Kessy,
Linah na baby bump yake
pamoja na Madam wereva Jacqueline Wolper aliyeweza kutuonyesha tattoo alizonazo kwa uwazi wa nguo aliyoivaa usiku huo.
Well as usual hatuhitaji kuongea mengi kwa hawa mastaa waliozoeleka kuboronga katika red carpets naotwaanza na couple ya Moj na Gigy Money pia babu yetu Lemutuz. Twaweza sema wamebobea katika kukosea.
Le mutuz
Article by @willibard_jr

Related posts

5 Comments

 1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-red-carpet-ya-show-ya-love-melodies-and-lights/ […]

 2. buy golden teacher mushroom online dubai

  … [Trackback]

  […] Here you will find 58962 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-red-carpet-ya-show-ya-love-melodies-and-lights/ […]

 3. Buy DMT vape New South Wales

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-red-carpet-ya-show-ya-love-melodies-and-lights/ […]

 4. 방콕변마

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-red-carpet-ya-show-ya-love-melodies-and-lights/ […]

 5. 토렌트

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yaliyojiri-red-carpet-ya-show-ya-love-melodies-and-lights/ […]

Leave a Reply