SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

YAY OR NAY KWA HUU MSHONO SURUALI YENYE MIGUU YA MATARUMBETA
Mitindo

YAY OR NAY KWA HUU MSHONO SURUALI YENYE MIGUU YA MATARUMBETA 

tumesha zoea kuiona hii style katika  mashati au magauni,

eleanor-pendleton-gettyimages

lakini mitindo hubadilika from time to time, na sasa ime onakana style mpya ya kuweka hii style katika miguu ya suruali, si style mpya sana maana tulisha iona miaka iliyo pita.

14033432_1585090151793994_283882062_n 14351016_503703683165373_427716307_n

lakini je hii style irudi tena au ibaki katika ile miaka ya 70-80? tupe maoni yako kupitia

Facebook – Afroswaggamag

Instagram – Afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

pia unaweza kuacha comment zako hapo chini kwenye box la comment

Related posts