Kanye West ukiachana na uimbaji pia ni mbunifu na najua wengi tulikua tunasubiri kuona nini kina fuata baada ya Yeezy season 1. sasa ni hiki hapa ndicho Kanye au Baba North ame tuletea. katika Newyork Fashion Week kanye ameonyesha mavazi yake ya Yeezy Season 2, kulikua na watu maarufu wengi kama Jay Z,Two Chains, Jaden Smith na katika kuonyesha ushirikiano walikuepo pia Kendall jenner, Kylie Jenner, Khloe Kardashian,Kim Kardashian na North West

[URIS id=1529]