Kampuni ya mavazi ya Yeezy inayo milikiwa na rapper Kanye West imetoa bei ya collection yake ya Yeezy Season 2 . ambapo inaonekana bei ya juu kabisa kwa upande wa wavulana ni USD 940 sawa na tzs 2’030’400 kwa Bonded Fire Jacket wakati kwa upande wa bei ya chini ni $165 sawa na Tzs 356’400 kwa light cotton jersey, wakati tshirt zinauzwa kati ya$230 sawa na tzs 496’800 na boots $620 sawa na Tzs 1’339’200. List ya bei kwa upande wa wanaume
wakati kwa upande wa wasichana bei ni $400 sawa na Tzs 864’000 kwa hoodie, $900 sawa na Tzs 1’944’00 kwa boots, na $700 sawa na Tzs 1’296’000 kwa trench coats
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/yeezy-season2-yatangaza-bei/ […]