Miezi michache nyuma ungetuuliza Afroswagga ni rangi ipi inatamba kwa sasa we would confidently reply blush pink , ilikua all over the internet na kila fashionista was in it. Lakini kwa sasa tunaona rangi ya njano ndio ina tamba zaidi tena basi ni full yellow, we would never thought of wearing full yellow but fashion takes us places.
fashion mother Rihanna alivaa Oscar de la Renta yellow two-pieces outfit wakati ana lunch fenty beauty as usual she made headlines, you can also take notes jinsi ya kuvaa hii rangi. ame less accessorize as rangi yenyewe ni statement tosha.
Talking about another fashionista Balke Lively is current pushing through, nae ameonekana akiwa amevalia head to toe yellow outfit ambapo yeye amevaa wide legs pants na high-neck long-sleeve top with belly sleeve’s ambayo alii accessorize na yellow belt, she also accessorize her outfit with dropped earrings na pete.
Super model Gigi Hadid ameonekana siku chache zilizo pita in yellow outfit pia yeye alivaa sequin yellow dress ambapo juu yake alitupia yellow coat amemaliza outfit yake na sequin shoes na yellow nails.
We all going yellow are you?
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yellow-it-is-this-seasons-coolest-color/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yellow-it-is-this-seasons-coolest-color/ […]