A little bit of showing skin doesn’t hurt no body, kama wewe ni mke mtarajiwa na ungependa vazi ambalo linaonyesha mwili wako kidogo (show off what your mama gave ya) basi Yemi Alade anaweza kuku-inspire, kwa vazi hili la Yemi Alade unaweza kuvaa kwenye Wedding Reception au kama wedding guest
Yemi amevaa hii white two pieces outfit ambayo imetupa wedding Reception Outfit Goals, ni skirt ndefu yenye tail,huku juu akiwa amevaa embroiled turtle neck bra, amemalizia outfit yake na a piece of shawl, Hio fur aliyo ining’iniza hapo mabegani.
As usual Yemi Alade ame rock natural hair zake, ame pakwa red lipstick huku akiwa ame-accessorize muonekano wake huo na statement earrings na pete. Did you see the nail color? We are In Love.
Kama umealikwa harusini au unaharusi hivi karibuni na ungependa kutuonyesha maungo yako kidogo hii ni perfect outfit kwako it is stylish,chic na haina mambo mengi
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yemi-alade-showing-skin-in-a-wedding-reception-inspiration-look/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 48827 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/yemi-alade-showing-skin-in-a-wedding-reception-inspiration-look/ […]