SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

You Don’t Need Heels To Look Classy At Work
Mitindo

You Don’t Need Heels To Look Classy At Work 

Inawezekana wewe ni mmoja ya wale ambao wanapitia hii hali,unadhani huwezi kupendeza au kuonekana classy kazini kama hutovaa heels, kiukweli unaweza kuvaa flats na ukaonekana classy.

Well leo tupo hapa kukupa tips za namna ambavyo unaweza kuvaa flats kazini

Kuna option mbalimbali za flats ambazo unaweza kuvaa kama Open sandals, sling back, pointed toe sandals,barrets, hakikisha tu zina rangi na quality nzuri ambazo zinafaa kuvaliwa ofisini.

Hakikisha pia mavazi yako ni classy na yanaendana na viatu mfano mzuri ni huwezi kuvaa open toe sandals na trouser suit haitoleta picha nzuri kama unavaa trouser suit ni vyema ukavaa na pointed toe shoes au boots.

Open toe sandals ni vyema kama utazivaa ukiwa umevalia bwanga, skirt au gauni ndefu pia hakikisha umepaka rangi vidole na mafuta miguuni ili kuonekana vyema.

Mwisho kuwa confident na ulichovaa lakini pia hakikisha una accessoriez vyema muonekano wako kuendana na ulipo, kazi njema.

Jinsi ya kuonekana fabolous bila ya kuvaa heels

Related posts