Anaitwa Jeffrey Lamar Williams (24 ) lakini ana julikana zaidi kama Young Thugg ni rapper wa kiume kutoka Atlanta Georgia Marekani. Amesha fanya kazi na Gucci mane, Bird man, Wacka Flocka Fame na wengine wengi na wimbo wake ulio mtoa zaidi ni stoner.
Rapper huyu amekua akipendelea kuvaa nguo za kike na kuwaita wanaume wenzie mume wangu au “hubby”. sababu yake kubwa ya kuvaa nguo za kike ni kwamba zinamtosha vizuri, hii imezua malumbano na minong’ono kwamba ni shoga hasa kutokana na yeye ni blackamerican watu wamekua wakimpiga vita lakini yeye mwenyewe ana sema hajali.
haya ni mahojiano aliyo yafanya na The Guardian
“I like everything that people say,” stated Thugger during an interview with TheGuardian.
“That’s why you like him in Europe. That’s how you dress. If he was some masculine guy, I’m not saying they wouldn’t like him, but he’s more relatable. To people who just like old hip-hop.”
“Yeah, because you’re from Atlanta, Georgia, and you’re dressed like a f***ing European. Of course,” YT said when asked if it was important that Hip-Hop embrace alternatives to the stereotypical hyper-masculine emcee.
wanao msema vibaya wame sikia sasa young thug hana habari lakini hivi karibuni ame post picha ya baba yake nae akiwa amevaa hivyo labda ni kitu ambacho kipo kwenye familia yao,ya ngoswe na tumuachie ngoswe.
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/young-thug-na-mavazi-ya-kike/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 32950 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/young-thug-na-mavazi-ya-kike/ […]