SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zamaradi Mketema Serving Us Classic Look
Mitindo

Zamaradi Mketema Serving Us Classic Look 

Zamaradi Mketema ni moja ya watangazi pendwa hapa Nchini kwetu,lakini pia ni mwanamke anaetazamwa na wengi kutokana na ushwawishi wake mkubwa katika jamii, ukiachana na utangazaji Zamaradi anapenda fashion. Japo si mara nyingi anapenda kuonekana amevaa nini lakini mara chache anazoonekana anaonekana amevaa stylish,

Zamaradi amepost muoenekano wake mpya katika page yake ya Instagram & we must say tumependa tulicho kiona, Zamaradi ameonekana akiwa amevalia mustard two piece outfit ambapo top ya juu ni off shoulder ambayo imemkaa vizuri showing her shoulders, lakini chini amevaa surualu uyokuwa fitted well na pumps nyeusi

 

 

Amemaliza muonekano wake na statement necklace huku akiwa ameachia weaving lake, we wish angestyle hii weaving kidogo but all in all haija haribu muonekano wake, well seen Zamaradi serving us classic looks ina tupa matumaini katika watangazaji slayers Tanzania.

Week iliyopita tulimuweka Amina kutoka Kenya kama Woman Crush wetu, yeye ni mtangazaji kutoka Kenya ambae huwa anapendeza sana kazini na nje ya kazi lakini pia anavaa brand za Kenya, ikatufanya tujiulize wetu wanakwama wapi?  Tunaona Zamaradi ameanza na hopeful hatoishia hapa tunaomba kuwaona na wengine pia wakike na kiume mkijaribu kujitengeneza katika mavazi.

 

Related posts

4 Comments

 1. ufabet911

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zamaradi-mketema-serving-us-classic-look/ […]

 2. uniccv

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zamaradi-mketema-serving-us-classic-look/ […]

 3. bass japanese

  bass japanese

  bass japanese

 4. ks

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zamaradi-mketema-serving-us-classic-look/ […]

Comments are closed.