SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zara Quilted Chain Strap Shoulder Bag Inavyotrend Kwasasa
Mitindo

Zara Quilted Chain Strap Shoulder Bag Inavyotrend Kwasasa 

Imekuwa muda mrefu toka tuwaletee vitu vinavyotrend Duniani kwasasa well we are back na kuanza tunaanza na hii bag kutoka katika kampuni ya mavazi ya Zara. Kama wewe ni mpenzi wa handbag na hujui bag ipi ipo kwenye trend basi leo tunakuletea hii kwa ajili yako.

Quilted Shoulder Bag kutoka Zara ni bag ndogo tu sio kubwa sana ya kusema utabeba clinic, ila ni kubwa enough kuweka simu,funguo, wallet yaani inafaa kwaajili ya ile mitoko ambayo haina hekaheka nyingi kama brunch, night out au kwenye errands za kawaida.

Bag hii inauzwa Usd 39.40 sawa na Tsh 91,289.80 Na inakuja katika rangi mbalimbali kama fuchsia ikiwa silver hardware, coral ikiwa na gold, creamy white, butter yellow, lilac, kijani, pink, blue rangi ni nyingi mno.

Bag za aina hii zipo pia kariakoo zinaweza kuwa sio Zara ila zinaendana kiasi unaweza kujipatia yako ikiwa na material nzuri kwa bei nafuu.

Related posts

4 Comments

  1. go to this website

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zara-quilted-chain-strap-shoulder-bag-inavyotrend-kwasasa/ […]

  2. Where to buy DMT Victoria

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zara-quilted-chain-strap-shoulder-bag-inavyotrend-kwasasa/ […]

  3. 주식

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zara-quilted-chain-strap-shoulder-bag-inavyotrend-kwasasa/ […]

  4. https://www.dallasnews.com/marketplace/2023/09/29/phenq-reviews-legit-diet-pills-or-fat-burner-scam/

    … [Trackback]

    […] There you can find 9847 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zara-quilted-chain-strap-shoulder-bag-inavyotrend-kwasasa/ […]

Comments are closed.