SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zari The Boss lady, Jacqueline Wolper & Irene Uwoya Airport Style Is Chic AF
Mitindo

Zari The Boss lady, Jacqueline Wolper & Irene Uwoya Airport Style Is Chic AF 

Unaposikia safari kitu ambacho unafikiria kichwani ni casual outfit ambayo itakufanya uwe comfortable wakati unasafiri, wengi hatupendi kuwa too much safarini like am on the bus or plane why should i be extra? lakini imeonekana sio wote ambao hawana mentality hii wengine wao wanaslay popote pale.

Week hii tume wa-spot baadhi ya watu maarufu wakiwa wanasafiri na wamependeza hatari, they had make up’s, heels on full chic outfits like they went to slay on the airplane.

 • Tuanze na Zarina Hasan au Zari The Boss Lady

ambae yeye aliamua kuvaa every shade of pink, she actual looked like a pink bubblegum Yummy one’s ofcourse, this outfit was hella extra kwa maoni yetu hasa kwa airport style lakini we total understand her maana aliposhuka alienda moja kwa moja kwenye party, she had her pink caped blazer on, alivaa na pinkish dress ambayo ilikuwa na belt ( hatujui kama aliweza kuwa comfortable na hii belt safarini) akamalizia na strap heel sandals na miwani, her traveling suitcase is one to die for.

 • Irene Uwoya 

Irene yeye alivaa a lavender strap dress ambayo ilimuachia kidogo kifua, hakuonyesha muonekano wake mzima ila alimalizia na statement D&G Glasses, Irene how dare you wear those extra attention catching glasses while traveling? wakati sisi wengine huwa tunachagua sunglasses kujificha tusionekane mwenzetu alichagua zile ambazo zina catch attention ya watu.

 • Jacqueline Wolper 

Wolper yeye alikuwa simpe na mavazi yake alivaa green top, suruali nyeusi akamalizia na pumps za kijani ( heels), lakini aliamua kutumia hereni kubwa kunogesha muonekano wake ( sisi huwa tunavua kabisa hereni maana tunaonaga ni usumbufu) lakini Jacque yeye aliamua kuvaa Goldtone Triangle Bamboo earrings ambazo ni kubwa to make a statemnt. 

Well mates kama ungependa kubadilisha muonekano wako wakati una safiri ruksa kwani sh’ngapi? tuambie kwako wewe umeona nani outfit yake haikufit kusafiria? yaani imekuwa too extra?

Related posts

5 Comments

 1. ccell cartridge for sale

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zari-the-boss-lady-jacqueline-wolper-irene-uwoya-airport-style-is-chic-af/ […]

 2. Changa DMT For Sale New South Wales

  … [Trackback]

  […] There you can find 78837 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zari-the-boss-lady-jacqueline-wolper-irene-uwoya-airport-style-is-chic-af/ […]

 3. automated test software

  … [Trackback]

  […] Here you can find 32219 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zari-the-boss-lady-jacqueline-wolper-irene-uwoya-airport-style-is-chic-af/ […]

 4. Liberty Caps mushroom

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zari-the-boss-lady-jacqueline-wolper-irene-uwoya-airport-style-is-chic-af/ […]

 5. click to read more

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zari-the-boss-lady-jacqueline-wolper-irene-uwoya-airport-style-is-chic-af/ […]

Comments are closed.