SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zarina Hassan On True Love Mag East Africa
Mitindo

Zarina Hassan On True Love Mag East Africa 

Zarina Hassan au Zari the Boss Lady ameonekana katika cover ya Tue Love Mag East Africa, kichwa cha habari kikiwa her life in the fab lane well magazine bado haijatoka as tumejaribu kutembelea katika website ya magazine hii na hatujakuta bado june edition ambayo yupo Zari.

Kwetu jicho letu likawa limedondokea katika haya mavazi aliyo vaa Zari, Kujua amevaa designer gani na amekuwa styled na nani

Katika cover ya hii magazine zari amevaa bridal dress lenye rangi ya mauve/peach, gauni hili limetoka katika boutique ambayo ina azimisha maguni ya harusi iitwayo Dream Gown Rentals, muundo wa gauni ni kama cinderella dress ambayo ime m’bana kifuani na kiunoni na kuachia chini, imempendeza mno rangi nzuri haina kelele na perfect for magazine cover tulicho penda zaidi ni alivyo make statement na a gold crown na gold accessories lakini pia nywele na makeup vipo on point. She just slayed this magazine cover.

Outfit nyingine ambazo zipo kwenye hii cover ni hii white sheer polka dot dress by Alice Mccall ambayo inauzwa $ 450 sawa na Tzs 1,018,462.50 taliwahi kumuona Beyonce amevaa in black, japo kwenye website ya Alice tumeikosa unaweza kununua Aliexpress ambayo wao wanauza $46 hii itakuwa copy (click here to buy)

We all know Zari is all about business, alivaa hii gauni katika location ambayo inaonekana kama ofisini, we guess a boss lady can wear anything to work. Hatuna uhakika kama tumependa hii gauni katika hii location, gauni linaonekana kukaa ki-party zaidi but amependeza amevaa gauni hii na black open heels.

Outfit ya tatu ni hii skater dress yenye rangi ya kijani na nyeusi, tunadhani Zari anatakiwa kuvaa color more as they look good on her. Tumependa hii outfit pia ambayo alikuwa accessoriezed na hereni za kijani.

Unaweza kuangalia outfit zake nyingine kwenye video hapo chini tumependa hio colorful outfit ya njano bahati mbaya tumekosa picha.

To us tumependa outfit zote, tumependa kwamba wamemtoa on her comfort zone na kumvalisha rangi ambapo si mara nyingi unamuona Zari amevaa colorful lakini pia tumependa wame mpa ile elegance yake na yet fashionable.

Related posts

7 Comments

 1. 3 ingredient chocolate bark

  … [Trackback]

  […] Here you can find 11773 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 2. ufabet911

  … [Trackback]

  […] Here you can find 7385 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 4. BK8thai

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 5. 예능 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 6. fake id card

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

 7. cardarine bodybuilder porn

  … [Trackback]

  […] There you will find 61111 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassan-on-true-love-mag-east-africa/ […]

Comments are closed.