SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zarina Hassan, Jide Jaydee Na Abby Wakiwa Wamevaa Nyeupe Kama Wedding Guest
Mitindo

Zarina Hassan, Jide Jaydee Na Abby Wakiwa Wamevaa Nyeupe Kama Wedding Guest 

Kama kuna kanuni ambayo wengi hujaribu kuifuata wanapo kwenda katika harusi ni kuto kuvaa nyeupe, hii ni kutokana na kwamba bibi harusi anavaa hio rangi kwaio ni vyema akaachwa yeye ashine na rangi yake wakati sisi wengine tukivaa mavazi ya rangi nyingine ambayo yawe yamewekwa kama theme au kuto kuwekwa lakini unaweza kuvaa nyeupe endapo tu ni theme ya harusi hio.

Well tulimuona dada Lady Jaydee akiwa amevaa gauni jeupe katika harusi ya mwanamuziki Ambwene Yessaya A.K.A Ay, well watu walimpigia kelele lakini ni kwamba theme ya sherehe au harusi ilikuwa white, wageni waalikwa walitakiwa kuvaa nyeupe na tunajua unapo pewa theme inabidi uifuatishe

Wakati tukiendelea kutafakari juu ya hii all white theme katika harusi tukamuona mwanadada Abby  akiwa amevaa nyeupe pia katika harusi, ikatubidi tuchunguze kwa makini kujua kwanini alivaa white na yeye pia ikaonekana theme ya sherehe hio ilikuwa white, well tukasema okay its a theme so she had too. lakini bado hii ikawa akilini mwetu kwamba kama harusi inaweza kuwa na theme ya kuvaa nyeupe je ni kwanini tunaambiwa tusivae nyeupe kama theme si nyeupe?

 

lakini recently Zarina Hassan (diamond platnumz baby mama) ameonekana pia akiwa ame attend harusi akiwa amevaa nyeupe, mind you ni kwamba all these weddings zimefanyika beach, na theme ilikuwa nyeupe

Well do let us know maoni yako katika kuvaa nyeupe kwenye harusi even if its a theme of the wedding

Related posts

4 Comments

  1. her latest blog

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassanabby-na-lady-jaydee-wamevunja-kanununi-kubwa-ya-wedding-guest-do-and-donts/ […]

  2. 다시보기 사이트 순위

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassanabby-na-lady-jaydee-wamevunja-kanununi-kubwa-ya-wedding-guest-do-and-donts/ […]

  3. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassanabby-na-lady-jaydee-wamevunja-kanununi-kubwa-ya-wedding-guest-do-and-donts/ […]

  4. you can check here

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zarina-hassanabby-na-lady-jaydee-wamevunja-kanununi-kubwa-ya-wedding-guest-do-and-donts/ […]

Comments are closed.