Tuliongelea mengi kuhusu Miss Tanzania mwaka huu na tulishauri washiriki wapate kupewa zawadi zao mapema yasije yakawa ya Diana Flave ambae ambae alipewa zawadi ikiwa imechelewa na pia zawadi ilikuwa used, well seems like mambo ni yale yale maana hii Zawadi Ya Miss Lake Zone Inapumulia Oxygen Therapy
seems like New Miss Tanzania wame take notes na kuwapa warembo hawa zawadi zao mapema tatizo lililokuwepo ni ubora wa zawadi hii,
imeonekana kulalamikiwa ni used, jana katika kurasa za new miss Tanzania walipost gari hio kuonyesha ndio zawadi atakayo kabidhiwa miss lake zone 2018,
Ni gari aina ya passo, kiukweli hii gari tunaweza kusema “muhimu ni zawadi na ina waka na kutembea” sometimes ni bora ukatumia hizo pesa kutoa zawadi nyingine ambayo ina sura nzuri hata kama ikiwa ndogo kuliku kutaka kufanya kitu kikubwa ambacho ni mahuti huti, kina pumulia oxygen therapy.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zawadi-ya-miss-lake-zone-inapumulia-oxygen-therapy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zawadi-ya-miss-lake-zone-inapumulia-oxygen-therapy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zawadi-ya-miss-lake-zone-inapumulia-oxygen-therapy/ […]