SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ZENDAYA AME SLAY KATIKA LOUIS VUITTON DRESS
Mitindo

ZENDAYA AME SLAY KATIKA LOUIS VUITTON DRESS 

Zendaya Maree Stoermer Coleman ana julikana kwa jina lake la kwanza tu Zendaya ni mwanamuziki, muigizaji pia ni dancer, juzi Zendaya alionekana akiwa amevalia kila kitu kuanzia chini mpaka juu kutoka kwa mbunifu Louis Voitton, na tumependa kila kitu kutoka katika mtoko huu

spl1290923_032

Zendaya akiwa amevalia sandals na gauni kutoka kwa Louis Vuitton kingine ambacho tulikipenda kutoka katika mtoko huu ni make up yake na messy hair style aliyo weka, ame pendeza mno na rangi za gauni is just perfectzendaya-louis-vuitton-s-2017-cruise-collection-show-in-brazil-5-28-2016-2 (1)

Related posts

Leave a Reply