Jana kuliwa na tuzo za GQ Men of the Year Awards zilizo fanyika London, watu maarufu wengi walihudhuria akiwepo mwanadada Zendaya, Zendaya made it to our best dressed list, she nailed na kwa jinsi ambavyo watu maarufu wengine walivo vaa katika event hii tunaweza kusema Zendaya amechukua namba zote kwenye Top , yaani namba 1 yeye, mbili yeye mpaka tano yeye she looked gorgeous
Amevaa colorful dress kutoka kwa Ralph & Russo FW18 Couture Dress, amemaliza muonekano wake na black pumps na makeup yake simple, amelaza nywele nyuma na fun fact ni kwamba style ya nywele na makeup amefanya mwenyewe.
She is coming for the entire fashion industry
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zendaya-snatched-in-ralph-russo-fw18-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zendaya-snatched-in-ralph-russo-fw18-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 25384 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zendaya-snatched-in-ralph-russo-fw18-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zendaya-snatched-in-ralph-russo-fw18-couture-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zendaya-snatched-in-ralph-russo-fw18-couture-dress/ […]