Watu maarufu hutupia picha zao katika mitandao ya kijamii ili kuwajulisha watu wao wanao wafuatilia ni nini kinaendelea kwao, na hawa ndio walio tupia picha zao na zika gusa jicho letu la ki fashiooon kwamba wame pendeza na wana shahili kuwa katika hii list
Mtayarishaji wa muziki Nisher katika black & white huyu kaka kama asinge kuwa producer tuna mtabilia angekua mbunifu au mwanamitindo ana jua sana kuvaa.
mbunifu Martin Kadinda katika kanzu na kijikoti flani hivi stylish
Faraja Nyarandu amependeza katika hiki kigauni chekundu
Muigizaji Elizabeth Michael huwa hakoseagi huyu
mwanamuziki Linah Sanga, hatuja weza kupata picha yake mpaka chini ila alivalia Long black boots zinazo fika mpaka kwenye magoti alipendeza mno
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zilizo-tuvutia-wiki-hii-3/ […]