SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zuchu Anahitaji Msasa Kwenye Vitu Hivi Vitatu
Mitindo

Zuchu Anahitaji Msasa Kwenye Vitu Hivi Vitatu 

Zuchu amepiga hatua kubwa sana ki-muziki, kwenye ku-pose kama tunakumbuka zamani aliwa ha-relax lakini pia amepiga hatua kwenye mavazi. Anavaa according to her age na status, well kuna vitu vidogovidogo ambavyo anahitaji kuviangalia ili awe na ile star quality.

  1. Kutembea kama kuna msanii ana mwendo mbaya akiwa amevalia heels basi ni Zuchu, anatakiwa kutembea heel to toe lakini yeye ana tembea vice versa anakuwa kama anasukumwa or something yaani kama ana shuka milima na hii si mara ya kwanza kukiona hiki kitu kutoka kwake. As tunaona Wasafi wana ukaribu na models kama Jihan, Hapiness Magese etc tunadhani wachukue muda wao kuwaomba wamfundishe bi. dada kutembea.

2. Kutafuna, Zuchu anapenda kutafuna Bubble gums lakini hana ile manner ya kutafuna vyema hasa kama upo mbele ya adhara, as a lady na msanii mkubwa unahitaji kuwa soft and smooth with it.

3. Kuchagua mavazi ambayo yupo comfortable nayo, tumemuona kwenye harusi ya Diva akiwa amevaliaa hii gauni nzuri kabisa lakini hakuwa comfortable nayo mpasuo ulikuwa mrefu sana akawa ana jificha ficha, next time usimfanye mbunifu au stylist aridhike wewe ndio unaonekana ukiwa umevalia hii nguo, unahitaji kuwa comfortable ku-move nayo as wewe ndie tunaekuona umevalia na sio wao

Tunadhani akirekebisha haya machache atakuwa mcharo.

Related posts

6 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

  2. superslot เครดิตฟรี

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

  3. window repair

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

  4. Purchase Magic mushroom microdose on the market Australia

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

  5. gilf bbw

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

  6. Buy colt guns

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-anahitaji-msasa-kwenye-vitu-hivi-vitatu/ […]

Comments are closed.