SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zuchu Apewa Onyo Kwa Kutumia Sash Ya Miss Tanzania
Mitindo

Zuchu Apewa Onyo Kwa Kutumia Sash Ya Miss Tanzania 

Kampuni iliyopewa kibali cha kusimamia mashindano ya Miss Tanzania “The Look” imetoa onyo kutumia “Sash” yenye jina / maandishi ya “Miss Tanzania”, Kampuni hii ilitumia Official Page yao ya instagram kutoa onyo hilo,

Onyo hili limekuja baada ya mwanamuziki Zuchu kutoa wimbo wake mpya unaitwa napambana huku kwenye cover ya wimbo huo ameonekana akiwa amevalia mavazi mbalimbali na kati ya mavazi hayo kuna ambalo alivaa gauni jeupe na “Sash” iliyo andikwa “Miss Tanzania”

Well tunadhani kuna umuhimu wa wasanii kuuliza wahusika kabla ya kutumia vitu na baadae kuleta madhara lakini pia tungependa kujua maoni yako kuhusu sakata hili wewe unahisi ni sahihi kuitumia au si sahihi?

Related posts