Leo ndio siku ya mwisho ya mwaka 2020, phew finally a new phase & new goals. Well mwanamuziki kutoka katika brand ya Wasafi ameona asituache tumalize mwaka bila ya kutuaga, Zuchu ameonekana kwenye hii mermaid dress kutoka kwa mbunifu Mahaumes.
Zuchu aliacha gauni iongee alivaa accessories chache hereni na bracelet, tunaweza kusema this is the best look tumemuona nayo since 2020 ianze.
Wengi wamejiuliza Zuchu hii shape katoa wapi, let’s say ukiwa na photoshoot kali kama hii vitu vingi huwa vinatokea kama kuvalishwa undergarment ili kukupa muonekano mzuri hii hufanyika hata huko kwa wenzetu.
Well Afromates let us know your thoughts on her look.
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-ending-the-year-in-mahaumes-red-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuchu-ending-the-year-in-mahaumes-red-dress/ […]