SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zuchu Rocking The Balenciaga Crocs Mid Calf Boots
Mitindo

Zuchu Rocking The Balenciaga Crocs Mid Calf Boots 

Hivi karibuni tumemuona first lady wa WCB label, Zuchu akiwa amevalia hizi boots za plastic ambapo katika kuziangalia sana tuligundua zimetoka kwenye fashion house ya Balenciaga.

Boots hizi zinaitwa Balenciaga Mid Calf Boots ambapo zinakuja katika rangi 3 pink, beige na black. Boots hizi ni collaboration between Balenciaga and Crocs sees the two brands join forces, with the fashion house bringing unique creativity to match the clogs seller’s functional design

Zuchu yeye alivalia za rangi ya kijani na pink ambapo pink alivalia na co ord set za njano wakati za kijani ali-match na teo co ord set za kijani na njano.

Boots hizi zinauzwa $820 sawa na Tsh 1,989,328.20 kwa mbili ni sawa na Tsh 3,978,656.40/- well tuambie slap or clap kwa hivi viatu?

Related posts