MTV MUSIC AWARDS ilifanyika jana wakati muongea chochote wa tukio ilo alikua Miley Cyrus na Nick Minaj ndo alikua mfunguaji.
Tuone nani kavaa nini na nani ameharibu
Nicki Minaji alivaa Gauni la dhahabu kutoka Labourjoisie.
Ciara sijajua tuuitaje hii staili ki bongo bongo ila alipendeza muonekano wake kutoka Alexandre Vauthier
Mcheza Filamu katika Tamthilia inayo pendwa zaidi Empire bibi Serayah alivalia gauni kutoka Hervé Léger.
Habari mpya mjini Kylie Jenner hakua nyuma nae katika kigauni cha dhahabu.
Kabla ya kupokea tuzo yake Kanye Alipose kwa ajili ya picha Kanye West Kanye amevalia camuel-hued na viatu kutoka kwenye kiwanda chake Yeezy kicks, wakati Kim Kardashian amevaa gauni kutoka Balmain.
Rita Ora amevalia Vera Wang gown.
Selena Gomes amevaa gauni kutoka Calvin Klein na Viatu kutoka Aquazzura platform.
FKA Twigs kavaa kivazi kutoka Versace .
Kourtney Kardashian pia kavaa jumpsuit kutoka Balmain
Kris Jenner
Taylor Swift amevalia crop top na suruali kutoka Ashish sequin houndstooth .
Ambao hatukua na Uhakika nao ni
Pharrell na mkewe Helen Lasichanh sawa jeans ipo kwenye chati lakini mmmmh sidhani kama imeendana na tukio.
Kelly Osbourne’s ensembles sikumuelewa pia
Toa maoni yako kwenye box la maoni au tutumie email.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuria-jekundu-mtv-music-awards-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuria-jekundu-mtv-music-awards-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/zuria-jekundu-mtv-music-awards-2015/ […]