SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Afya
Namna Ya Kuboresha Afya Yako Wakati Huu Wa Isolation 

Kama ambavyo sote tunajua tumeambiwa tuepuke misongamano, kuna wale ambao wameambiwa wafanyie kazi nyumbani, kuna wale ambao wanaenda kazini lakini wana practice social distance etc. Hii inapelekea wengi wetu kuwa nyumbani na kuwa karibu na vyakula, lakini pia kufungwa kwa sehemu za mazoezi ( gym…

Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo 
Jinsi Ya Kutumia Tango Kuilainisha Ngozi 
Urembo
Watu Maarufu Walivyoshiriki Katika Fresh Face Challenge 

Kutokana na gonjwa hili la Corona watu wengi tumekuwa tukikaa nyumbani na kuto kwenda kokote kuepuka misongamano, sote tunajua kukaa nyumbani bila cha kufanya inakufanya utafute vitu vya kuku-entertain na imeonekana mtandao wa Tiktok umekuwa msaada mkubwa kwa wengi. Kuna challenge nyingi zimeanzishwa huko na…

Namna Ya Kupendezesha Vidole Vyako Vya Miguu 
Aunty Ezekiel, Lulu Diva, Hamisa Mobetto And Others In Statement Jewelry Trend 

Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako 
Graduation Outfit Do And Dont’s 
Dondoo
5 Tips On How To Be Classy And Stylish According To Lavidoz 

Moja kati ya watu maarufu ambao wengi wanawapenda kutokana na mavazi yao basi ni mwanadada Lavidoz, Lavidoz ana mwili wa kawaida ( sio ile miili ya kutengeneza) na bado anavaa na kupendeza. Ambacho wengi tunavutiwa nacho kutoka kwake ni kwamba japo havai mavazi ya ghali…

Jua Toauti Ya Vipodozi Organic Na Natural 
Jua Namna Ya Kuondoa Harufu Mbaya Ya Viatu 
Urembo
Watu Maarufu Walivyoshiriki Katika Fresh Face Challenge 

Kutokana na gonjwa hili la Corona watu wengi tumekuwa tukikaa nyumbani na kuto kwenda kokote kuepuka misongamano, sote tunajua kukaa nyumbani bila cha kufanya inakufanya utafute vitu vya kuku-entertain na imeonekana mtandao wa Tiktok umekuwa msaada mkubwa kwa wengi. Kuna challenge nyingi zimeanzishwa huko na…

Namna Ya Kupendezesha Vidole Vyako Vya Miguu 
Aunty Ezekiel, Lulu Diva, Hamisa Mobetto And Others In Statement Jewelry Trend 
Make Up
Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo 

Mwezi mtukfu wa Ramadhani umeanza, na kama ilivyo kawaida ya mwezi huu watu wengi hutumia muda wao kufanya yale yanayo mridhisha M/Mung kama kufnga, kujistiri na kufanya yale yaliyo mema. Ukifikaga mwezi huu huwa tunasubiri kuona transition ya watu maarufu kutonyesha namna wanavyoweza kutoka katika…

Jinsi Ya Kutumia Tango Kuilainisha Ngozi 
Jinsi Ya Kutunza Ngozi Yako Wakati Huu Wa COVD19 
Afya
Namna Ya Kuboresha Afya Yako Wakati Huu Wa Isolation 

Kama ambavyo sote tunajua tumeambiwa tuepuke misongamano, kuna wale ambao wameambiwa wafanyie kazi nyumbani, kuna wale ambao wanaenda kazini lakini wana practice social distance etc. Hii inapelekea wengi wetu kuwa nyumbani na kuwa karibu na vyakula, lakini pia kufungwa kwa sehemu za mazoezi ( gym…

Sababu Na Namna Ya Kukabiliana Na Chunusi Wakati Wa Hedhi 
Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 3 
Afya
Athari Za Msongo Wa Mawazo Katika Muonekano Wako 

ee unajua kuwa msongo wa mawazo unachangia mafuta yako kugoma na uso wako kujaa chunusi kwa wingi. Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu msongo wa mawazo ama kama inavyojulikana sana “ stress”. wengine wana stress za maisha, maradhi, ugonjwa, masomo na mambo kadha kadha. kwa…

Baby Steps Katika Kupungua Uzito Nakuwa In Shape 
Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 2 
Mazoezi
Kama Una Mwili Kama Wa Diamond Platnumz Tips Hizi Zitakusaidia Katika Muonekano Wako – Inverted Triangle 

Umeshawahi kukutana na mwanaume kavaa nguo ambayo ikakufanya ujiulize kwanini lakini? mbona haiendani na mwili wake? mara nyingi ina tokea right? hii ni kutokana na kwamba wanaume hawafocus sana katika haya mambo, si kama wanawake lakini hio ndio sababu ya sisi kuwahapa t kuwafunza na…

INSTAGRAM CRUSH @SAYMARIAH 
MAVAZI YA MAZOEZI KUTOKA KWA KAJALA MASANJA 
Dondoo
Unahitaji App Hii Ili Kufanya Mazoezi Mwenyewe 

Tulio wengi changamoto ya kipato na na muda imekuwa sababu kubwa linapokuja swala la mazoezi, wapo wanaokosa muda wa kuhudhuria gym, wapo wanashindwa kulipia gharama. Lakini pia tupo ambao vyote vinatushinda, sababu zipo nyingi lakini hizi mbili ndio hasa zimetufanya kuandika makala hii ya App unazohitaji…

TIPS ZA MAZOEZI WEEKEND 
MAZOEZI KWA SHEPU NZURI (SQUARTS) 

Za Moto Moto

Afya

Namna Ya Kuboresha Afya Yako Wakati Huu Wa Isolation 

Kama ambavyo sote tunajua tumeambiwa tuepuke misongamano, kuna wale ambao wameambiwa wafanyie kazi nyumbani, kuna wale ambao wanaenda kazini lakini wana practice social distance etc. Hii inapelekea wengi wetu kuwa nyumbani na kuwa karibu na vyakula, lakini pia kufungwa kwa sehemu za mazoezi ( gym…

Mitindo

Best And Worse Looks From Last Weeks 

Tunajua mlimiss hii segment, Yes we miss doing this too. Sote tunajua kwa sasa watu hatutoki toki kutembea lakini hii haimaanishi basi tusipendeze yaani tujiweke weke tu. Leo tunakuletea best looks ambazo tumeziona Juma lililopita na zile ambazo tumeona zimekuwa kama covid 19, yaani kirusi….

AfroTipAndTricks

How To Dress Powerfully 

Umesha wahi kukutana na kijana ambae anafanya kazi ya kawaida lakini unaweza kudhani yeye ndio CEO wa kampuni hio? Yes inawezekana na wewe kufanya hivyo, wengi wetu tunatumia excuse ya kwa kazi gani? au mimi siwezi ku-dress vile kuna wenyewe, futa hizo fikra unaweza kwa…

AfroTipAndTricks

Vitu Vitano Unavyoweza Kufanya Ku-level Up 

Najua wengi wetu tumeenda shule kuna wale wadada ulisoma nao, wakati unasoma nao walikuwa the true definition of basic. Ukimuona hakutetemeshi hakutishi(wasemavyo waswahili). Basi umemaliza shule, miaka kadhaa imepita then katika pitapita zako unakutana nae au unaona picha yake mtandaoni, wakati mwingine hata rafiki anakutumia…

Urembo

Namna Ya Kupendezesha Vidole Vyako Vya Miguu 

Kuna vitu ambavyo kila mmoja wetu ana insecurity navyo katika miili yetu, wengine inaweza kuwa mikono, tumbo, shingo, macho nk ili mradi tu kuna kitu ambacho una notice hakipo sawa. Wachache wanachukua muda wao kutafuta namna ya kutafuta solution ya majibu haya wakati wengine tunaamua…

Load more

TWITTER

Umuhimu Wa Nguo Za Ndani Sahihi Katika Muonekano Wako: Lets talk about dressing na namna… https://t.co/WHdQriHtIA

2 days ago

Follow

Tiwa Savage, Davido And Mr Eazi On Billboard Magazine Cover: Wanamuziki kutona Nchini… https://t.co/lUh13aqJNY

1 week ago

Follow

Watu Maarufu Walivyoshiriki Katika Fresh Face Challenge: Kutokana na gonjwa hili la Corona… https://t.co/LGqmp4tZjZ

1 week ago

Follow

Best And Worse Looks From Last Weeks: Tunajua mlimiss hii segment, Yes we miss doing this… https://t.co/NQZTtcIaGL

2 weeks ago

Follow

FACEBOOK

Subscribe for newsletter

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Life Hacks

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi 

Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer  Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na  hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…

Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake 

 Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…

Pata Kumjua Josh Ipyana Mshindi Wa Master Tanzania 2019 

Shindano la Master Tanzania liliweza fanyika mwezi huu kwa mara ya kwanza nchini, na Josh Ipyana kuibuka mshindi, Master Tanzania 2019. Ili kuweza kumtambua na kulielewa shindano tuliweza zungumza naye: AFROSWAGGA: Waweza tuelezea Master Tanzania 2019 lililenga kutafuta kijana wa aina gani? JOSH: Master Tanzania…

Mister Model Worldwide Interview With Thom Nguka 

Mfahamu Mwanamitindo anayeiwakilisha Tanzania katika fainali za Mister Model World Wide 2019. Thom Nguka mwenye umri wa miaka 26 ni mwanamitindo (model) anayefanya vizuri katika tasniia ya mitindo akiwa chunk ya usimamizi wa Pulse Models Management toka nchini Afrika Kusini. Pia nchini tumemuona katika majukwaa…