SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.

LATEST POSTS

Mitindo

JE UNAWEZA KUWA MWANAMITINDO HATA KAMA UMFUPI? 

Wengi tuna jiuliza hili swali Je naweza kuwa mwanamitindo hata kama mimi ni mfupi? Wengi wetu tunakatishwa au kakataa tamaa bila ya kusoma au kujaribu kiundani Zaidi. Jibu ni ‘NDIO’ Unaweza kuwa mwanamitindo hata kama wewe ni mfupi. Hukiachana na kuwa mwanamitindo wa kutangaza bidhaa…

Habari, Urembo

Rihanna Kuachia Vipodozi Vyake 

Rihanna wengi tunamjua kutokana na kazi yake Muziki, lakini pia amekua chachu katika ulimwengu wa Mitindo na Urembo. Akiwa tayari  ameshafanya kazi na makampuni makubwa ya vipodozi kama MAC, Haishangazi hata kidogo kuona sasa hivi anataka kutoa vipodozi vyake mwenyewe. Katika mahojiano  ya hivi karibuni na Refinery29, Rihanna…

Mitindo

BADDIE WINKLE VS IRIS APFEL 

Iris Apfel na Baddie Winkle wote ni wazee wanao penda mitindo ambao wamejizoelea wafuasi wengi wanao wafuata katika mitandao. Iris amezaliwa mwezi wa nane, 29, 1921 ana miaka 94 ambapo ni mfanya biashara, ni mpambaji wa nyumba na Mpenda mitindo. Amesoma sanaa katika chuo cha…