SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.

LATEST POSTS

Mitindo

ZURIA JEKUNDU MTV MUSIC AWARDS 2015 

MTV MUSIC AWARDS ilifanyika jana wakati muongea chochote wa tukio ilo alikua Miley¬† Cyrus na Nick Minaj ndo alikua mfunguaji. Tuone nani kavaa nini na nani ameharibu Nicki Minaji alivaa Gauni la dhahabu¬† kutoka Labourjoisie.   Ciara sijajua tuuitaje hii staili ki bongo bongo ila…

Hair, Mitindo

MITINDO YA NYWELE 

Wasanii au watu maarufu wamekua kioo cha jamii kwa vitu vingi, tabia, misaada, elimu na hata mitindo. Wengi huwa tunaangalia kutoka kwao na sisi ndio tufanye. wiki hii wengi wame badilisha mitindo yao ya nywele wengine wamtoa nyeusi waka weka dhahabu na wengine wametoa fupi…