SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.

LATEST POSTS

Uncategorized

MEATPIES ZA KIASILI 

MEATPIES ZA KIASILI Mahitaji:- Nusu kilo nyama ya kusaga/kima Vitunguumaji 3 vikubwa vikate vipande 4-4 Pilipilimbichi 2 zikate mara nne Vijiko 3 vikubwa tomato ya mkebe Konde 2 za thomo Chumvi vijiko 2 vidogo Nusu kijiko kidogo pilipilimanga Nusu kijiko kidogo mdalasini Na dania nusu…

Uncategorized

NDIZI ZA NAZI NA UTUMBO 

Mahitaji Ndizi mshale 10 Utumbo wa ng’ombe 1/2 kilo Nazi ya kopo 1 Nyanya 1 Kitunguu kikubwa 1 Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chakula Olive oil kiasi Limao 1 Chumvi Curry powder 1 kijiko cha chai Turmaric 1/2 kijiko cha chai Coriander ya powder 1/2…

Dondoo

NJIA MBALI MBALI ZA KUHIFADHI HIJAB 

Kuna njia nyingi za kuweza kuhifadhi hijab zako, ina tegemea na kipato chako njia njyingine ni ghali, mtu mwenye kipato cha chini hawezi kuhimili lakini pia kuna njia rahisi ambazo kila mtu ana weza kufanya. Wengi wetu tuna pata shida¬† ya kuhifadhi hijab zetu vizuri…