The 2017 Nickelodeon Kids’ Choice Awards Ime Happen Juzi na watu maarufu mbali mbali walikuepo akiwemo Zendaya, Kevin Hart, Maria Carrey Nick Cannon na wengine wengi. Hapa ndipo unapo ona jinsi gani wenzenu wana chukulia muonekano serious, watu hawakuwa tuu much kama wanaenda kwenye awards za wakubwa lakini pia hawakuwa too local, unaweza ku imagine kama hii ingekuwa Tanzania ingekuaje watu wangekuwa casual hadi unge furahi na vipedo vyao anyways back to Nickelodeon Kids Choice Awards
Demi Lovato alikua katika Pink Halston Heritage jumpsuit very sexeyyy
Gwen Stefani alivaa metallic short pant, fishnet tights na embellished shirt akamalizia na thigh high boots
Nick Cannon & Mariah Carrey went all match match na watoto wao
Blacchyna na mwanae King Matching white shirt na demin WE LOVE THIS
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/picha/red-carpet-the-2017-nickelodeon-kids-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/picha/red-carpet-the-2017-nickelodeon-kids-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/picha/red-carpet-the-2017-nickelodeon-kids-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 75390 more Info to that Topic: afroswagga.com/picha/red-carpet-the-2017-nickelodeon-kids-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 72453 more Information to that Topic: afroswagga.com/picha/red-carpet-the-2017-nickelodeon-kids-choice-awards/ […]