SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sababu 3 Muhimu Za Kwanini Usafishe Makeup Brushes Zako
Quick Tip

Sababu 3 Muhimu Za Kwanini Usafishe Makeup Brushes Zako 

Kwa sasa karibu kila mwanadada anamiliki makeup na makeup brushes, lakini wengi wetu inachukua miezi kusafisha hizi brushes tukiona hakuna umuhimu wakufanya hivyo leo tunakuletea sababu tatu muhimu za kwanini unahitaji kusafisha makeup brushes zako mara kwa mara

1. Brush zinabeba bacteria utaweka kwenye ngozi yako.Kama wewe una brush ya make up ambayo toka ununue au utunzwe kwenye party au birthday unatumia tu hujawahi kuosha  hii ndio sababu kubwa ya chunusi zako. Unarudishia humo humo kila siku. Unahitaji kubadilika kwa hili.

2. Utaharibu make up yakoKwa sababu izo brush za make up zinabeba wadudu unawahamishia kwenye make up yako na kufanya isidumu kwa muda uliokusudiwa. Yes unatumia make up nzuri original ila unalalamika inakutoa rashea na chunusi. Sis ni lazima sababu hujawahi ziosha.


3. Utaharibu Makeup Brushes Zako, kitu chochote ukikitunza ndio kinadumu. Usiseme make brush za fulani ni fake, hazidumu wakati hauzitunzi. Yes osha brush zako na uzitunze zitadumu na utsev hela zako.
Jinsi ya kuosha make up brush zako angalia maelekezo kutoka kwa mtengenezaji husika. Na kuna sabuni maalum ya kuoshea vile vile kuna ambazo huanikwa kwenye jua kali au la kiasi ama kukaushwa.

Hakikisha unazingatia maelekezo ya mtengenezaji kudumisha ubora wa make up brushes zako.
©️binturembo

Related posts

5 Comments

  1. look at more info

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/__trashed/ […]

  2. Asian Adult Cams

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/__trashed/ […]

  3. where to buy dmt vape​

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/__trashed/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/quick-tip/__trashed/ […]

  5. reference

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/quick-tip/__trashed/ […]

Comments are closed.