Kila mmoja wetu atakuwa anajua perfume ni nini na kazi yake, lakini pia wapi unatakiwa kupaka perfume hizi. Tulisha ongelea kuhusu perfume na wapi pa kuzipaka kama hujawahi kusoma na ungependa kusome click link hapo chini
Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda Mrefu
Leo tunakuletea Quick Tip ambayo hii inahusiana na umbali ambao unatakiwa ukae wakati wa kupaka au kupulizia perfume yako,

Kama utapulizia perfume yako mbali zaidi kuna wasiwasi wa ku-less applying na kama utapulizia karibu sana basi uta-over apply.

well afromates kama ulikuwa hujui sasa umejua na kama ulikuwa unajua basi umejua zaidi.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/je-unatakiwa-ukae-umbali-gani-wakati-wa-kupaka-kupulizia-perfume/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/quick-tip/je-unatakiwa-ukae-umbali-gani-wakati-wa-kupaka-kupulizia-perfume/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 94168 additional Information on that Topic: afroswagga.com/quick-tip/je-unatakiwa-ukae-umbali-gani-wakati-wa-kupaka-kupulizia-perfume/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/je-unatakiwa-ukae-umbali-gani-wakati-wa-kupaka-kupulizia-perfume/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/quick-tip/je-unatakiwa-ukae-umbali-gani-wakati-wa-kupaka-kupulizia-perfume/ […]